Kipadoe

Kipadoe ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapadoe kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kipadoe imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipadoe iko katika kundi la Kicelebiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search